Miscellaneous
Nini neno Deka na vitendo vyake,kwa kizungu tunasema Undivided attention. Nguvu za kike na kiume na jinsi kukuza mahusiano yetu kea kujielimisha na kuzungumza wa wapenzi wetu.kujijenga kwa mazoezi ya akili na mwili kwa vyakula na lishe na vitamin na pia kujipenda na kumpenda mpexi wako na kasoro zake.