Changu Chako, Chako Changu - Makala maalum miaka mia moja ya radio sehemu ya pili.

Share:

Changu Chako, Chako Changu

Miscellaneous


Katika sehemu ya pili ya makala kuhusu miaka mia moja ya radio, Ali Bilali anakuletea historia ya kuzaliwa kwa radio France Internationale RFI. na kwenye kipengele cha Muziki utapata Burudani kutoka kwake Hiro le Coq. Usikosi pia kutufollow kwa Instagram kwa kuandika @billy_bilali