Miscellaneous
Makala haya ni muendelezo wa Makala kuhusu mwezi wa la francophonie, sehemu hii tunazunhumezia kuhusu siku ya kimataifa ya nchi zinazo zungumza lugha ya Kifaransa, pamoja na hatuwa ya uzinduzi wa kamusi ya francophonie. Usikosi pia kutufollow kwa instagram @billy_bilali