Miscellaneous
Katika sehemu hii ya kwanza ya Makala kuhusu Historia ya rais wa zamani wa BurkinaFaso Capreni Thomas Sankara, Ali Bilali na Benson Wakoli wanazungumzia kuhusu alivoanza harakati kuelekea kwenye mapinduzi ya kijeshi. Usikosi pia kutufollow kwa Instagram kwa kuandika @billy_bilali.