Changu Chako, Chako Changu - Historia ya rais wa zamani wa BurkinaFaso Thomas Sankara mwanzo wa harakati sehemu ya pili

Share:

Changu Chako, Chako Changu

Miscellaneous


Katika sehemu hii ya pili, mwanahistoria wetu Ali Bilali anakuletea historia na namna Thomas Sankara alivyoanza harakati zake za kisiasa. Kumbuka pia kutufollow kwa instagram https://www.instagram.com/billy_bilali/