Changu Chako, Chako Changu - Historia ya Radio miaka mia moja tangu kuundwa kwake sehemu ya kwanza

Share:

Changu Chako, Chako Changu

Miscellaneous


Makala haya Changu Chako Ali Bilali anakuletea Historia ya miaka 100 tangu kuundwa kwa radio, hatuwa ya mwanzo kabisa hadi kupatikana kwa masafa marefu na mafupi, hii ikiwa ni sehemu ya kwanza. Usikosi pia kutufollow kwa Instagram @billy_bilali