Miscellaneous
Katika sehemu hii ya tatu mtangazaji wako Ali Bilali akiambatana na Benson Wakoli wanakuletea sehemu Historia ya Thomas Snakara ambapo sehemu hii inazungumzia kuhusu harakati za ukosoaji wa Madeni katika kiwango cha kimataifa. Usikosi pia kutufollow kwa instagram @billy_bilali na @bwanawakoli

