Miscellaneous
Katika sehemu hii ya kwanza, mwanahistoria Ali Bilali anakuletea Historia ya rais wa Tchad Idriss Deby Itno, katika sehemu hii ya kwanza anakueleza kuhusu harakati zake kuelekea kuishika dola na kuchaguliwa kwa muhula wa kwanza. Usikosi pia kutufollow kwa instagram @billy_bilali